SIKU YA TATU YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA UBUNIFU KWA WAHANDISI VIJANA
Siku ya tatu ya mafunzo Mrs Ji-Young Rhee kutoka 3empower taasisi ambayo imeshirikiana na taasisi ya seris katika kuandaa mafunzo kwa kwa vijana wahandisi juu ya ujasiriamali na ubunifu akieleza namna mafunzo haya yatakavyo wasaidia katika kubuni na kuanzisha biashara mbalimbali.