YOUTH IN SCIENCE AND TECHNOLOGY SUMMIT 2025

Leo tar 10 Februari Seris foundation kushirikiana na ERB walienda wasafi kuongea juu ya summit inayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 20 mei na kuhitimishwa tarehe 23 mei lenye madhumuni ya kutoa mafunzo ya ujasiriamali, kubadili wazo la biashara kuwa mpango madhubuti, na kujifunza kutoka kwa wataalamu wakubwa kwenye sekta ya sayansi na teknolojia.