SERIS FOUNDATION IMESHIRIKI KWENYE MKUTANO WA YOUTH IN ENGINEERING FORUM TAR 3 SEPTEMBA, 2024
TAASISI ya SERIS (Seris Foundation) yenye makao makuu yake Ilala, Jijini Dar es Salaam leo Agosti 22, imeshiriki kwenye mkutano wa mwaka wa youth in Engineering forum tar 3 septemba pale PSSSF Commercial Complex, Dar es salaam.Kwenye baadhi ya picha CEO wa Seris foundation akiwa anawasilisha hoja katika mkutano huo.