SERIS FOUNDATION WAKIPOKEA CHETI - YOUTH IN ENGINEERING FORUM 2025
Leo tarehe 24 septemba Seris Foundation tumeshiriki kikamilifu katika hitimisho la Youth in Engineering Forum 2025, tukipokea cheti cha kufanya maonesho ya wahandisi wabunifu na kutoa mada katika Youth in Engineering Forum.
Cheti hicho kimekabidhiwa na mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, na kupokelewa na CEO wa Seris Foundation.
Tunaendelea kushirikiana na wadau kuinua ubunifu na mchango wa vijana kwenye sekta ya uhandisi.
Kesho tutaungana kwenye kilele cha Annual Engineers Day (AED2025) — tukishuhudia ubunifu, mitazamo mipya na mustakabali wa uhandisi nchini.