Non-Profit Organization CEO of the Year 2025 - CPA. Deborah Wami

Seris Foundation
Tunakupongeza kwa kupokea tuzo hii muhimu.
Tunakutambua kwa uongozi wako wenye dira, moyo wa kujitoa,
na mchango mkubwa katika kuboresha ustawi wa jamii na kuwainua vijana wabunifu wa kitanzania wenye ndoto na maono makubwa.
You Inspire. You Lead. You Transform.

Ni fahari kubwa kama taasisi ya Seris Foundation kuwa sehemu ya safari yako ya mafanikio.
Hongera sana kiongozi wetu CPA. Deborah Wami – hongera kwa kutupatia sababu ya kuendelea kuamini katika nguvu ya mabadiliko.

Mwisho tunashukuru uongozi mzima wa watoa tuzo kwa kutambua mchango wetu katika jamii ya Tanzania