SERIS FOUNDATION IMESHIRIKI KATIKA JUKWAA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI TAR 4-5 SEPTEMBA, 2024

TAASISI ya Seris Foundation imeshiriki katika Jukwaa la Mashirika yasio ya kiserikali 2024 lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Conversion Centre mkoani dodoma tarehe 4 -5 September 2024.Pichani ni Bw. Victor Godfrey akiwa na washiriki wengine wa jukwaa hilo kutoka Mashirika mbalimbali.